Kila alipokuwa akipata fursa, Imam Hassan alikuwa akitumia fursa hiyo kuzungumzia hali ya baadaye atakayokuwa nayo Imam Mahdi AS yaani ya ghaiba kutoweka mbele ya macho ya watu pamoja na taathira chanya za uongozi wa mwanawe Imam Mahdi AS kwa walimwengu. Mtukufu huyo alisisitiza kuwa......