Historia
Maimamu 12 (a.s)
Baada ya kufariki dunia Imam Hadi AS, Imam Hassan Askari AS alichukua jukumu la kuongoza Umma wa Kiislamu akiwa na umri wa miaka 22 na kushikilia wadhifa huo kwa miaka 6 hadi alipuawa shahidi akiwa na umri wa miaka 28. Katika mazingira hayo magumu, mtukufu huyo aliweza kufikisha ujumbe wa mafundisho ya Kiislamu katika nyanja tofauti zikiwemo .........
Tunahitaji mtu asiyefanya dhambi na asiyekosea, mtu ambaye kwamba hata tukichungua kiasi gani utu wake, hatuwezi kuona hata dalili ya hitilafu katika mpango wake, ambao wingi wa tabia zake za maisha hufanya picha tukufu kwa ajili ya macho yetu kutazama na roho zetu kujipatia mwongozo mwema..........