bayyinaat

Sheria
Mada za kisheria
DHAMBI YA KULAWITI; SEHEMU YA NNE
Bila shaka kitendo cha kulawiti ni kitendi kibaya mno chenye kuchukiwa na Dhati ya Mwanadamu, hivyo ni wazi kwamba yeyote anayetenda dhambi hiyo, basi ni dalili ya uchache wa akili zake, na hutubainishia ya kwamba dhamira ya mtu huyo
DHAMBI YA KULAWITI; SEHEMU YA TATU
Liwaat; ni kitendo cha kijinsia baina ya jinsia mbili za kiume kiasi kwamba inakuwa ni mwanaume kumuingilia mwanaume mwenzie katika tupu yake ya nyuma, ambapo kwa mujibu wa Dini tukufu ya Kiislam pamoja na Dini nyinginezo za Kimungu ........
DHAMBI YA KULAWITI; SEHEMU YA PILI
“Na tulimtuma Lut', alipo waambia watu wake: Je, mnafanya uchafu ambao hajakutangulieni yeyote kwa uchafu huo katika viumbe vyote!. Hivyo nyinyi mnawaingilia wanaume kwa matamanio mkawacha wanawake? Kumbe nyinyi ni watu wafujaji!”
DHAMBI YA KULAWITI; SEHEMU YA KWANZA
Na amesema Mjumbe wa Mwenyezi Mungu (s.a.w.w): “Yeyote atakayemjamii mvulana ataletwa siku ya kiama ilihali yu katika janaba ambayo hakutakaswa na maji ya duniani na Mwenyezi Mungu atamghadhibikia na atamlaani, na atamuandalia moto wa jahanamu na hayo ......
KUFUATA SHERIA NA KUIKUBALI MIPAKA YAKE
Wakati watu watakapo fanya mambo walio katazwa na kila mtu akafanya kila alitakalo, bila ya mtu kuwa na usimamizi (katika hali kama hii)
1