Ulimwengu wa Kiislamu
Tamaduni ya kiislamu
Wataalamu wengine wa maswala ya kijamii na tamaduni husika kwa ujumla, wanajaribu kuelezea maana ya tamaduni kwa kusema: ni mkusanyiko wa watu maalumu na ambao huishi katika mazingira maalumu huku wakiwa ni wenye kuendelea katika sekta ya uandishi. Kwa maana ya kwamba ili kuwe na tamaduni basi ni lazima kwanza kupatikane watu maalumu..........