bayyinaat

Ulimwengu wa Kiislamu
Historia ya sasa
Historia Ya Tiba Katika Uislamu
Misingi ya tiba na udaktari ilianza pamoja na kuwepo mwanadamu katika sayari ya dunia, na kutoka karne kwenda nyengine elimu hii ilikuwa ikiimarika zaidi, na ulipofika Uislamu, kwa kuwa unasisitiza kutafuta elimu na kutafakari pia uashiriaji wake katika aya na hadithi za tiba na udaktari, kuliwafanya Waislamu nguvu katika kufanya.........