Mavazi yako ni kioo cha uhalisia wako - 2

Mavazi yako ni kioo cha uhalisia wako - 2

Hivi ndivyo ambavyo mavazi hutumika na watu wenye akili salama, kwamba huyatumia kuangalia aliye ndani ya mavazi yale, na mavazi huwa ni kama njia tu. Sawa mavazi yanaweza kuwa mazuri sana............
Ni yapi madhara ya UVUTAJI WA sigara?:; SEHEMU YA PILI

Ni yapi madhara ya UVUTAJI WA sigara?:; SEHEMU YA PILI

Kula au kuvuta kitu ambacho ni sababu ya kuleta madhara kwa akili ya mtu au afya yake ni haramu (kitu hicho), lakini ikiwa ni madhara ya muda mfupi au machache ambapo akili haitadhurika wala kusumbuka, si jambo haramu. Katika hitimisho lazima ifahamike kwamba Dini tukufu ya Uislamu imesisitiza mno suala la kulinda nafsi ya mwandamu, mali yake, heshima yake na haiba yake, na madaktari wote na maulamaa wa kidini wameafikiana juu ya mambo hayo, na kwamba uvutaji wa moshi hupelekea dosari katika afya ya mwanadamu na nafsi yake, hivyo ni lazima kuacha, na hapana madhara mengine makubwa zaidi
Ni yapi madhara ya UVUTAJI WA sigara?: SEHEMU YA KWANZA

Ni yapi madhara ya UVUTAJI WA sigara?: SEHEMU YA KWANZA

Moshi huwa ni wenye sumu nyingi, lakini sisi tutataja misombo ya moshi muhimu zaidi, ikiwa ni pamoja na: nikotini, ambayo ni kifungu chenye sumu kali inayosababisha hali ya mwili inayoitwa............
KUDHARAU WAZAZI WAWILI; SEHEMU YA PILI

KUDHARAU WAZAZI WAWILI; SEHEMU YA PILI

Alihudhuria Mjumbe wa Allah (s.a.w.w) kwenye kikao cha kijana aliyekaribia kukata roho na kumlakinisha shahada, lakini hakuweza kuitamka shahada hiyo, akauliza (s.a.w.w): Je! Anaye mama?
KUDHARAU WAZAZI WAWILI; SEHEMU YA KWANZA

KUDHARAU WAZAZI WAWILI; SEHEMU YA KWANZA

Moja ya vigawanyo vya madhambi makubwa ni kudharau wazazi wawili na hakika Mtume na Imam Ali na Imam Sadiq na Imam Ridhaa na Imam Jawadi wote wamebainisha kwa uwazi ukubwa wa dhambi katika riwaya zilizonukuliwa kutoka kwa katika idadi ya madhambi ya makubwa.............
1 2 3 4