Mwanamke katika zama za ujinga alikuwa akionekana ni kama chombo cha starehe na bidhaa ambayo kila mtu alikuwa ana uwezo wa kumiliki bidhaa hiyo wakati wowote ule aliokuwa anahitaji. Wanaume walikuwa wakioa wanawake bila ya idadi maalumu na kuacha bila ya talaka. Mwanamke alikuwa haruhusiwi kumiliki kitu chochote na wala hana haki ya ..............
Mwili wa mwanadamu unahitaji vitu tofauti ili uwe salama kutokana na maradhi ya hapa na pale, mwenye kutaka kuwa salama na maradhi yampasa kutumia vitu au vyakula ambavyo vyauweka mwili kuwa salama kama matunda........
Pia tukitaka familia zetu ziwe bora ni lazima kuzingatia mambo haya baada ya kuzingatia mambo kadhaa niliyotaja hapo awali, nayo ni lazima nyumba ya wanandoa itawaliwe na upendo, utulivu na huruma, mambo matatu haya ndio chanzo.........
Ili kupata taswira nzuri kunako mtazamo wa Kiislamu tuangalie mpangilio wa kazi katika maisha ya bibi Fatima Zahara (a.s) Maisha ya bibi Fatma yanaashiria kwamba mpangilio wa kazi katika nyumba yake uligawika kwa kuzingatia haki na usawa.
Ni wazi kwamba; ikiwa hijabu itakuwa ni ya heshima itakuwa ni bora zaidi kuliko ya fedheha.