DALILI JUU YA UHARAMU WA KAMARI

(SEHEMU YA SITA)

DALILI JUU YA UHARAMU WA KAMARI (SEHEMU YA SITA)

Na tunawaambia ya kwamba: Ilikuwa ni jambo la kupewa kipaumbele kwa wakati wenu huu muupotezao na kusahau kumdhukuru Mwenyezi Mungu, tambueni kuwa munao wajibu wa kumkumbuka Mwenyezi Mungu, na ktafakari, na tambueni ya kwamba munavyo vitu vingi, vinaweza kukushughulisheni katika mambo yenye manufaa, na michezo hiyo isiyo na faida ndani yake si kidini wa kidunia, hakika inakushughulisheni na hatimae kumsahau Mwenyezi Mungu na kumuomba na kumuabudu pia, na hatimae kukuleteeni kughafilika na ugumu wa moyo.
DALILI JUU YA UHARAMU WA KAMARI

(SEHEMU YA TANO)

DALILI JUU YA UHARAMU WA KAMARI (SEHEMU YA TANO)

Na hapa tutaje baadhi ya mifano ambayo imetokea kwa sababu ya kamari, na miongoni mwa mifano hiyo ni pale watu wachezapo kamari kisha kubeti kwa atakayeshinda kupokea pesa, na mmoja wao ashindapo huchukua pesa hiyo, na endapo pesa hiyo itakuwa ni nyingi hakika watu waliwao hupelekea kubaki maskini, na kukabiliwa na shida, na kuwa mafukara na wenye kuhitaji mikopo, na vile vile hupelekea kutafuta pesa kwa njia tofauti ili kulipiza kiasi alicholiwa.
DALILI JUU YA UHARAMU WA KAMARI

(SEHEMU YA NNE)

DALILI JUU YA UHARAMU WA KAMARI (SEHEMU YA NNE)

“Hakika Shetani anataka kutia kati yenu uadui na chuki”. Kwa maana kwamba Sheitani ni mwenye haraka na kiu kubwa ya kumuingiza mwanadamu katika chuki na uadui, na uadui ni kuvunja undugu baina ya ndugu wawili, na marafiki kuvunja urafiki wao kwa kuchukiana na kutengana, na yote hayo ni kwa sababu ya pombe na kamari, kama asemavyo (s.w.t):........
DALILI JUU YA UHARAMU WA KAMARI

SEHEMU YA TATU

DALILI JUU YA UHARAMU WA KAMARI SEHEMU YA TATU

“Na hakika nitawapoteza na nitawatia matamanio, na nitawaamrisha, basi watakata masikio ya wanyama, na nitawaamrisha, basi watabadili aliyo umba Mwenyezi Mungu” na amesema tena (s.w.t) kuhusu yeye:
DALILI JUU YA UHARAMU WA KAMARI

SEHEMU YA PILI

DALILI JUU YA UHARAMU WA KAMARI SEHEMU YA PILI

Hakika amebainisha Mwenyezi Mungu mtukufu ya kwamba Vilevi ni katika amali za sheitani katika kauli yake: “مِنْ عَمَلِ الشَّيْطَانِ” “katika kazi ya Shetani” na kila jambo ambalo kwamba hutokana na amali za sheitani ni haramu, na hiyo ni kwa sababu kwamba sheitani ni mwenye pupa ya kuwapotosha wanadamu, na kuwatupia katika maangamio.
1 2 3 4 5