Sababu za Kuwepo na Kuanguka kwa Tamaduni Kwa Mtazamo wa Quran -6

Sababu za Kuwepo na Kuanguka kwa Tamaduni Kwa Mtazamo wa Quran -6

Quran katika kuelezea pia sababu za kuanguka kwa tamaduni inatuambia kwamba, dhulma, kiburi na hata kuwafanyia mzaha wale ambao ni wajumbe wa Mwenyezi Mungu pia ni sababu katika kuanguka tamaduni. Na mfano wa dhahiri ambao inatuletea ni kisa kizima cha..............
Sababu za Kuwepo na Kuanguka kwa Tamaduni Kwa Mtazamo wa Quran -5

Sababu za Kuwepo na Kuanguka kwa Tamaduni Kwa Mtazamo wa Quran -5

Wataalamu wa maswala ya tamaduni wanajaribu kwanza kutuambia kuwa kuna aina mbili za sababu ambazo ndio chimbuko la kuanguka kwa tamaduni yoyote ile, nazo ni kama ifuatavyo:
Sababu za Kuwepo na Kuanguka kwa Tamaduni Kwa Mtazamo wa Quran -4

Sababu za Kuwepo na Kuanguka kwa Tamaduni Kwa Mtazamo wa Quran -4

Kutokana na durusu mbalimbali juu ya mwanadamu kama mwanadamu, na pia baada ya kubainisha maana halisi ya neno tamaduni, tunafikia katika maana ambayo nimeifanya kuwa ni kama kichwa cha habari na pia ni jawabu la kubainisha sababu halisi ya kuzalika kwa tamaduni.
Sababu za Kuwepo na Kuanguka kwa Tamaduni Kwa Mtazamo wa Quran -3

Sababu za Kuwepo na Kuanguka kwa Tamaduni Kwa Mtazamo wa Quran -3

Baada ya kuelezea na kubainisha rai mbalimbali juu ya maana halisi ya neno "tamaduniā€ sasa tujaribu kwa pamoja kuweza kudodosa na kuchunguza sababu zinaopelekea kuzalika kwa tamaduni hiyo. Na hapa pia tutakuja na baadhi ya rai na mitazamo ya wataalamu katika kubainisha sababu hizo.........
Sababu za Kuwepo na Kuanguka kwa Tamaduni Kwa Mtazamo wa Quran -2

Sababu za Kuwepo na Kuanguka kwa Tamaduni Kwa Mtazamo wa Quran -2

Wataalamu wengine wa maswala ya kijamii na tamaduni husika kwa ujumla, wanajaribu kuelezea maana ya tamaduni kwa kusema: ni mkusanyiko wa watu maalumu na ambao huishi katika mazingira maalumu huku wakiwa ni wenye kuendelea katika sekta ya uandishi. Kwa maana ya kwamba ili kuwe na tamaduni basi ni lazima kwanza kupatikane watu maalumu..........
1 2 3