bayyinaat

Umakini wa Quran katika kutumia maneno - sehemu ya mwisho

Umakini wa Quran katika kutumia maneno - sehemu ya mwisho

Mwenza: huyu ni mwanamke ambaye hana mahusiano ya kimwili, mapenzi wala kimawazo na mwanaume, na hapa tunaweza kutumia maana hii hata
Umakini wa Quran katika kutumia maneno - 2

Umakini wa Quran katika kutumia maneno - 2

Mke : Ni yule ambaye anakuwa na mahusiano ya kimwili na mwanaume, na pia kunakuwa na hali ya mwendano wa kifikra na mapenzi baina yao. Ikikosekana
Surat Ikhlas na siri ya Kumpwekesha Mungu -2

Surat Ikhlas na siri ya Kumpwekesha Mungu -2

Ni Sura maarufu, yenye fadhila nyingi sana kwa mwenye kuisoma, inatosha tu kuelewa kwamba Sura hii inachukua nafasi ya Theluthi ya Quran kutokana na daraja na cheo chake kama ilivyopokelewa kutoka kwa Mtume Muhammad (saww) aliposema:
Surat Ikhlas na siri ya Kumpwekesha Mungu -3

Surat Ikhlas na siri ya Kumpwekesha Mungu -3

Tuje katika maana ya pili ambapo unakusudia Umoja wa kitu bila ya kuwa na Mwenza. Naam, hii ni maana sahihi kabisa kwa Mwenyezi Mungu, bali hata katika Sura hii pia tutakuja kuona kwamba imeashiriwa pale aliposema kwamba hakuna yeyote mfano wake.
Tafsiri ya Surat Nasr

Tafsiri ya Surat Nasr

Ni jambo ambalo lipo wazi kwamba katika dini ya Uislamu kulikuwa na vita nyingi mno ambazo Waislamu wakishinda, lakini ushindi ambao Mwenyezi Mungu anamuahidi mtume wake hapa ni ushindi juu ya kuufungua mji wa Maka kutoka katika mikono ya waabudu masanamu, hasa ukiangalia kwamba Waarabu walikuwa hawaamini kwamba itatokea siku moja Maka ikawa katika mikono ya Waislamu, na kama itatokea ikawa hivyo basi bila shaka Mtume atakuwa ni wa kweli na haki, maana haiwezekani ambaye ni mwongo kuja kuikomboa....