bayyinaat

Mwanzo
Tafuta
AMANI NA FUJO KWA MTAZAMO WA UISLAMU -2
Lakini la kushangaza kwa sasa, watu ambao wanajiita Waislamu tena kwa kudai kuwa wao ni Waislamu bora na safi (na hatuna haja ya kukitaja jina kwani ni maarufu kwa kujinadi kuwa wao ndiyo Waislamu safi na wasiokuwa wao ni makafiri),
AMANI NA FUJO KWA MTAZAMO WA UISLAMU -1
Kwa mfano waweza kulingania watu kwenye dini kwa mantiki na hoja za kielimu, au waweza ukatumia mabavu kuwalazimisha watu kuamini dini wasiyo iamini, hii sana ni pale dini kama hiyo inapokosa hoja za kimantiki za kuwakinaisha watu.
Nguvu za mwanadamu

Na

Njia sahihi ya kuzitawala -1
Angalia malaika, utakuta kwamba yeye ameumbwa katika mfumo wa kwamba hana kitu kikubwa zaidi ya akili ya kutii. Mwangalie mnyama utakuta kwamba ameumbwa katika mfumo wa matamanio tu. Lakini ukirudi kwa mwanadamu utakuta kwamba kwanza amekusanya mifumo yote ambayo inapatikana kwa malaika pamoja wanyama