bayyinaat

Mwanzo
Tafuta
Tafsiri ya Surat Ikhlas
Imepokelewa kutoka kwa Mtume saww kwamba aliwauliza masahaba zake “je, hivi inashindikana kila mmoja wenu kwa usiku mmoja akasoma theluthi ya Quran?”. Wakasema “ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, ni nani atakayeweza jambo hili?”.
Sikiliza Quran Yote Hapa
sikiliza Quran kamili hapa
Ukweli kama ulivyo
kama ambavyo jina la kitabu linajieleza, lakini ni ukweli gani huo, na ni juu ya kitu gani basi usiache kujisomea nakala yako hii...