bayyinaat

Mwanzo
Tafuta
Muziki na athari zake - 2
“....Nyumba ambayo inadumisha muziki haiwi katika amani ya majanga, na dua kutoka humo hazijibiwi, na wala malaika hawaingii nyumba hiyo...”
Muziki na athari zake
Na kutokana na kuenea kwake huku katika jamii za wanadamu kunaweza kuwa ni kigezo kwao katika kuamini usahihi wake au hata kuamini kwamba Mwenyezi Mungu anaruhusu