bayyinaat

Mwanzo
Tafuta
ZINAA; SEHEMU YA TATU
Imepokelewa kutoka kwa Imam Baqir (a.s), na Imam Sadiq (a.s) kuwa wamesema: “Hapana yeyote katika waja wa Mwenyezi Mungu ila amekosea kosa la zinaa kwani zinaa ya jicho ni kuangalia cha haramu na zinaa ya mdomo ni ..........
ZINAA; SEHEMU YA PILI
Na katika maandishi yaliyomfikia Imam Sadiq (a.s), ameyajibu kwa kusema: “Hakika Mwenyezi Mungu ameharamisha zinaa kwa sababu ya nakama ipatikayo ndani yake kwa machafuko mabaya zaidi kama...........
ZINAA; SEHEMU YA KWANZA
Ni kwa sababu zinaa ni sababu ya kukata kwa nasaba na kupotea kizazi na kubatilika urithi na kuvunjika silsila ya undugu na haki za wana juu ya wazazi wao na haki ya wazazi juu ya wana wao.......