bayyinaat

Qur`an
Maswali na majibu
Umakini wa Quran katika kutumia maneno - sehemu ya mwisho
Mwenza: huyu ni mwanamke ambaye hana mahusiano ya kimwili, mapenzi wala kimawazo na mwanaume, na hapa tunaweza kutumia maana hii hata
Umakini wa Quran katika kutumia maneno - 2
Mke : Ni yule ambaye anakuwa na mahusiano ya kimwili na mwanaume, na pia kunakuwa na hali ya mwendano wa kifikra na mapenzi baina yao. Ikikosekana
Umakini wa Quran katika kutumia maneno
Je, unaweza tambua tofauti ya maneno hayo hapo juu kwa mtazamo wa kwanza?, au ni sahihi unayatumia maneno haya kwa mwenza wako?.
Imepokelewa kutoka kwa Amirul muumin Ali bin Abitalib (a.s) kuwa amesema: Amesema Mjumbe wa Mwenyezi Mungu (s.a.w) kuwa amesema Mwenyezi Mungu mtukufu: Nimeapa kwa kupitia suratul Fatihah baina yangu na Mja wangu, hivyo.........
Je Quran inazungumziaje uumbwaji wa dunia? -2
Kila siku Mwanadamu ajitahidi kuvumbua na kugundua vitu tofauti ili kujua sababu ya kuwepo vitu hivyo au kutokuwepo, upeo huo wa Mwanadamu humpelekea kujiuliza maswali mengi kunako Ulimwengu huu na kutaka kujua ni siri gani iliyojificha ndani mwake, na kujiuliza........
Je Quran Inazungumziaje Uumbaji Wa Dunia?
Kutokana na maswali hayo hadi sasa Wanazuoni wa elimu ya Cosmology walitoa nadharia tofauti kunako kuumbwa Dunia, na nadharia zote hizo hakuna hata moja ilionekana kuwa imeafikiwa na wote, nadharia hizo tutaziashiria baadaye........