bayyinaat

Historia
Mtume (s.a.w.w)
Ndoa ya Mtume (saw) na Bi Khadija al-Kubra (as)
Tarehe 10 Mfunguo Sita Rabiul Awwal ni moja ya siku muhimu katika historia ya Uislamu, Katika siku hii Mtukufu Mtume Muhammad (saw) alimuoa Bibi Khadija binti Khuwaylid (as). Bibi Khadija alikuwa mwanamke sharifu.....
Maulid na Usahihi wake -3
Je, Maulid ina msingi katika dini au la?
Sasa hapa ndipo ambapo tunakutana na jambo la muhimu, nalo ni kwamba je, swala la kuadhimisha au kudumisha kumsifu Mtume (saww) lina msingi katika dini mpaka tuseme kwamba jambo hili si Bidaa?.......
Maulid na Usahihi wake -2
Kwa ufupi tunaweza kusema kwamba, kuna njia kuu mbili za kuweza kutolea hukumu jambo fulani, au Mwenyezi Mungu na Mtume wake katika hali ya kuweka sheria fulani basi wanaweza kutumia moja ya njia mbili zifuatazo..........
Maulid na Usahihi wake -1
Hili kwa asili ni jambo jema sana na linalofaa kutukuzwa na kila mmoja, ila kwa kuwa tunataka kufikia katika hali njema zaidi basi ni wajibu wetu kuweza kuhamisha ada hii kutoka katika hali ya kusherehekea tu na kuihamisha katika hali ya kujifunza mambo muhimu kutoka...........
Waarabu na Kutumwa Mtukufu Mtume Muhammad (s.a.w.w)
Baada ya tukio hilo Mtume aliyelekea nyumbani kwake na akamueleza mkewe (Bi Khadija) yote yaliyojiri, Bi Khadija (alikuwa ni mwanamke mwema mno) alimpongeza Mtume (s.a.w.w) kwa hilo, kisha akaamini utume wake, (kwa maana hii ni kwamba Bi Khadija ndiye mtu wa kwanza aliyeamini utume wa Mtukufu Mtume Muhammad (s.a.w.w) kabla ya watu wengine kumuamini)...........
1