bayyinaat

Historia
Mtume (s.a.w.w)
Waarabu na Kutumwa Mtukufu Mtume Muhammad (s.a.w.w)
Baada ya tukio hilo Mtume aliyelekea nyumbani kwake na akamueleza mkewe (Bi Khadija) yote yaliyojiri, Bi Khadija (alikuwa ni mwanamke mwema mno) alimpongeza Mtume (s.a.w.w) kwa hilo, kisha akaamini utume wake, (kwa maana hii ni kwamba Bi Khadija ndiye mtu wa kwanza aliyeamini utume wa Mtukufu Mtume Muhammad (s.a.w.w) kabla ya watu wengine kumuamini)...........
Mtukufu Mtume Muhammad (saww)
Ni siku ya Ijumaa ya tarehe 17 mnamo mwaka ambao umejulikana kama mwaka wa tembo kutokana na tukio maarufu lililotokea mwaka huo......
2