bayyinaat

Historia
Fatimah Zahra (a.s)
SERA ZA MAISHA YA BIBI ZAHRAA KWA MUHTASARI
Binti ambaye aliyemsaidia Baba yake katika mapambano dhidi ya makafiri wa mji wa Makka, katika Bonde la Abutalib. Na kustahamili mazito yaliyomsibu Baba yake, akiwa ni mwenye umri wa miaka saba, au nane kwa mujibu wa hitilafu za riwaya, hadi alipofariki Abutalib...........
Fatima Binti Wa Mtume (saww)
Bibi Fatima (as) alizaliwa siku ya Ijumaa Jamadil Akhir mwaka wa tano kabla ya Utume, wakati ule Mtume wa Mwenyezi Mungu (Saww) alipofanikiwa kuwaepusha Makureishi na vita vikali viliyotaka kuzuka baina yao walipokuwa .........