bayyinaat

Historia
Maimamu 12 (a.s)
Imam Mahdi AF; Mwokozi wa Ulimwengu - 2
Japokuwa Wakristo wanaoshikamana na dini wana imani ya mwokozi aliyeahidiwa, lakini uliberali ambao ndiyo mfumo wa kifikra unaotawala huko ....
Imam Hassan Askary, baba wa mwokozi wa Ulimwengu - 2
Inaelezewa kwamba katika moja ya miaka ya utawala wa Mutawakkil kulitokea ukame mkali mno, na kipindi hicho imamu akiwa yupo kifungoni.......
Katika kumbukumbu kuuawa shahidi Imam Hassan al-Askary AS-1
Kwa hakika maisha ya Maimamu na Ahlul-Beit wa Mtume SAW, yamejaa maarifa na mafunzo kwa ajili ya kumlea mtu na jamii kwa ujumla. Hata hivyo utawala wa kitwaghuti, kidhalimu na halikadhalika
Katika kumbukumbu kuuawa shahidi Imam Hassan al-Askary AS-2
Licha ya kwamba, utawala wa Bani Abbas ulikuwa na ugomvi na Imam Askary AS, lakini mmoja wa mawaziri wa utawala huo aliyejulikana kwa jina la Ahmad bin Khaqan, alikiri juu ya
Shahada ya Imamu Zainul Abidin (as)
Inaelezwa kwamba baada ya tukio la Karbala ambalo lilimkuta akiwa ni mgonjwa, Yazid alikuwa akitafuta sana mbinu za kuhakikisha kwamba anammaliza kwa njia yeyote ile....
Imam Hassan Almujtaba, Mjukuu Mtukufu wa bwana Mtume Muhammad
Mnamo tarehe 15 Ramadhan, mwaka wa tatu Hijiria alizaliwa moja ya viumbe bora katika uso wa ardhi, si mwingine bali ni Imamu Hassan Bin Ally bin Abitalib (as).......
2