bayyinaat

Historia
Maimamu 12 (a.s)
Maisha ya  Imamu Hassan Al Askariy - 1
Baada ya kufariki dunia Imam Hadi AS, Imam Hassan Askari AS alichukua jukumu la kuongoza Umma wa Kiislamu akiwa na umri wa miaka 22 na kushikilia wadhifa huo kwa miaka 6 hadi alipuawa shahidi akiwa na umri wa miaka 28. Katika mazingira hayo magumu, mtukufu huyo aliweza kufikisha ujumbe wa mafundisho ya Kiislamu katika nyanja tofauti zikiwemo .........
ASHURAA NA SUALA LA KUAMRISHA MEMA
Hii hutubainishia ya kwamba, nafasi ya kuamrisha mema na kukemea mabaya katika harakati ya Imam Hussein (a.s) ni kwa anuani ya lengo na kusudio la Imamu (a.s). Katika ziara ya Mtukufu huyo pia inatuthibitishia hilo pia pale inaposema:..............
MATUNDA YASHAHADA YA IMAM HUSSEIN(AS) - 2
Kama si mapinduzi ya Imam Husein (a.s) Uislamu usingetufikia salama, kwani yazidi na jopo lake walikuwa wamekusudia kuharibu........
MATUNDA YA SHAHADA YA IMAMHUSEIN(As)
Imam (a.s) alipoona maovu yanafanyika hadharani kwa jina la Mtume (s.a.w.w) na watu kuanza kuushakia Uislamu kutokana na mambo wanayo yafanya madhalimu waliojitambulisha.........
IMAMU MAHDI (as)
Imam Mahdi (as) ni Imam wa kumi na mbili wa Mashia, na Baba yake alikuwa anaitwa Imam Hassan Askarii(a.s). Imam wetu Mutkufu alizaliwa katika siku ya Ijumaa Mwaka wa 255 katika Mji wa Samaraو na Jina la Imam Mahdi(a.s) ni kama Jina la Babu yake Mtume (s.a.w.w)........
Imamu Ally (as)
Tunahitaji mtu asiyefanya dhambi na asiyekosea, mtu ambaye kwamba hata tukichungua kiasi gani utu wake, hatuwezi kuona hata dalili ya hitilafu katika mpango wake, ambao wingi wa tabia zake za maisha hufanya picha tukufu kwa ajili ya macho yetu kutazama na roho zetu kujipatia mwongozo mwema..........
4