bayyinaat

Itikadi
Makala
Itikadi sahihi ndio msingi wa mafanikio - 2
Hii ni hatua ya kwanza kwa binadamu katika harakati za kukua kwa uwezo wake wa kupambanua na kutofautisha mambo, nacho ndio kipindi ambacho wataalamu wanakiita ni kipindi cha mtoto kuhama kutoka katika ngazi ya hisia na kuhamia katika ngazi ya kupambanua mambo......
Itikadi sahihi ndio msingi wa mafanikio
Miongoni mwa mambo ambayo Mwenyezi Mungu amepambika nayo ni namna ambavyo amepangilia mambo yake katika hali ambayo mwanadamu wa kawaida hawezi hata kufikiria mbali na kutenda.
Uhakika wa Imani
Kwa mujibu wa nadharia ya kidini, neno 'imani' ni mwelekeo wa kimoyo wenye mafungamano ya kifikra, kiitikadi na kiroho juu ya Mwenyezi Mungu Muumba wa dunia, kuamini wokovu kwa watu watendao mema, kuwepo maisha ya milele baada ya kuondoka duniani