Itikadi
Tawhid

Endapo tutarejea na kuangalia maneno ya maimamu, basi tutakuta kwamba wao pia waliwekea umuhimu mno swala zima la itikadi, ima iwe kwa njia ya wao kuanza moja kwa moja kubainisha au hata wakati mwingine ni kwa njia ya kusahihisha pale wanapoona kwamba kuna makosa. Na kwa kuwa tumeona kwa mtume njia ya kwanza basi itakuwa vyema endapo ......

Moja: Mtume alikuwa akimwambia Hamza mambo ambayo kila mwanadamu anatakiwa ayaamini ili tu atakapokutana na mola wake siku ya mwisho akutane naye hali ya kuwa ni mwanadamu aliyekamilika kuanzia kimwenendo mpaka kiitikadi. Na hii ni kutokana na msingi ambao Mwenyezi Mungu ameuweka pale aliposema.....

Sasa jaribu pia kufikiria kwamba umeletewa kitabu ambacho unaambiwa kabisa kwamba kitabu hiki ni kizuri tu kwa nje, lakini mtunzi wake sio katika watu mahiri wala wenye elimu kubwa ya utunzi, bila shaka utajikuta kwamba ni mwenye kusoma kitabu kile kwa juujuu pia, na hata kama itatokea kuna nukta ambayo..........