bayyinaat

Itikadi
Uadilifu
Uadilifu
Neno 'Adl' hasa limetungwa kuleta maana ya "kufanya vitu viwili sawa" na "kugawa sawasawa" kwa lengo la kutekeleza haki na wema. Vivyo hivyo kwa neno 'Insaaf' ambalo maana yake hasa ni "kugawa sehemu mbili". Wazo la kugawa sawasawa linaleta maana ya "usawa" au "uadilifu"........