bayyinaat

Sheria
Tabia
SADAKA NA FAIDA ZAKE

(SEHEMU YA TATU)
Tunafaidika kutoka katika Aya hii ya kwamba, yeyote atakaye toa mali yake katika njia ya Mwenyezi Mungu, basi Mwenyezi Mungu atamrudishia maradufu. Na kurudisha Mwenyezi Mungu sawa iwe duniani ambapo kwa sura ya kumzidishia neema zake, au akhera ambapo ndipo hiyo pepo ya milele.
UNYENYEKEVU
Unyenyekevu una vigawanyo vikuu viwili vya kimsingi , na katika vigawanyo hivyo ni kimoja tu ndicho kinachosifika kwa Mwenyezi Mungu na kuwa ni katika sifa zilizokuwa ni njema.........
KUJIONA NA KUJIKWEZA - 2
1. Kuna kujiona na kujikweza kwa sababu unajiona una elimu na maarifa makubwa kuliko wote , na hali hii inawakumba wale watu ambao wanaposoma na kufikia daraja fulani la elimu , watadhani kwamba wao wanamiliki kila kitu upande wa elimu , na wanafikia hatua ya........
KUJIONA NA KUJIKWEZA - 1
Mitume wengi wa Mwenyezi Mungu walikumbana na matatizo makubwa katika umati zilizotangulia kwa sababu wengi wao walikuwa wanasifika na sifa ya kujikweza na kujiona, kwa vile sifa hii mwisho wake inapelekea pabaya , walikuwa wakiamua kuwaua (yaani mitume) . na hivyohivyo .............
Umuhimu wa Kufkiri - 2
Kuna aya tukufu na hadithi nyingi zinazohusu fadhila za akili. kwa mfano nitataja hadithi ya Imam Musa ibun Jaafar Al-kadhim(a.s)katika mambo ambayo alimuhusia sahaba wake Hisham Ibun Hakam,alimwambia:ewe Hisham kama mtu anataka kutajirika bila kuwa na mali,au kama anataka kuwa huru........
2