bayyinaat

Sheria
Tabia
Umuhimu wa Kufikiri - 1
na sehemu kama hizi ndizo zinazo mtofautisha mwanadamu na mnyama, Mwenyezi Mungu alipomuumba mwanadamu ha kumpa ukamilifu wote, bali alimpa sehemu ndogo kama kianzio cha kumfikisha kwenye huo ukamilifu, kwa lugha nyingine twaweza kusema kwamba alimpa rasilimali ndogo ya..........
Falsafa ya Akili na Imani kwa binadamu
Akili inamfanya mtu awe na mwelekeo katika mambo yake yote anayoyafanya, na hasa mambo yanayohusu maisha yake ya kila siku na ya baadaye. Kwa hiyo basi.........
Usafi Katika Uislamu - 2
Hivyo basi tunatakiwa kuvaa vizuri, nguo safi, zinazopendeza na kutufanya tuonekane vizuri, ikiwezekana unatia na manukato hasa unapokuwa mbele ya Mola wako ukifanya ibada, itapendeza sana ikiwa utaingia katika swala ukiwa msafi mwenye mavazi safi, na hivi ndivyo Waislam tunavyotakiwa tuwe, kwani amesema.....
Usafi Katika Uislamu
Miongoni mwa mafunzo ya dini tukufu ya Kiislam ni 'usafi wa kimwili na kiroho'. Naamini kwamba kila mtu atakuwa wa kwanza kukubaliana na mimi katika kauli hii kwamba 'dini tukufu ya Kiislam ni dini safi'. suala hilo liko wazi mno kwa wanadamu wote waliotangulia waliopo na watakao fuatia. Na ndio maana utaikuta dini hii inasisitiza zaidi usafi.....
Umuhimu Wa Akili
Bwana Mtume (s.a.w.w) aliulizwa na masahaba zake; ni nini hiyo akili? akawajibu; “ni kutenda jambo kwa kumtii Mwenyezi Mungu, na watendao matendo mema hao ndiyo wenye akili”.
3