bayyinaat

Ulimwengu wa Kiislamu
Tamaduni ya kiislamu
Matendo ya Mwezi wa Rajab
Hivyo basi swala la kuoga rehema za mwezi mtukufu wa Rajab ni lazima pia mja awe na maandalizi ya kuweza kufanikiwa katika hilo. Na kwa minajili hiyo basi katika sehemu hii ya leo tuaweza kukumbushana baadhi ya mambo muhimu ambayo yanatakiwa kufanywa katika mwezi huu
UISLAMU NA TABIA
Tabia mbaya inakuwa ni: Hali ambayo inayoiamrisha nafsi kuelekea kwenye mambo ambayo yako kinyume na maadili mema, pia ina sababisha mwanadamu kuwa kinyume na maumbile ya ubinadamu, na miongoni mwa mambo yaliyokuwa wazi ni kwamba tabia hiyo ina athari mbaya katika maisha ya mwanadamu huyo, na ina sababisha kuchukiwa na kutengwa na watu, na kwamba hatima yake huwa ni mbaya. Mtume mtukufu (s.a.w.w) anatueleza mwisho
UISLAMU NA TABIA
Kwa vile matokeo yanayotokana na juhudi za watu mbalimbali huingiliana na kwa vile kila mtu hutaka kufaidika na matokeo ya matunda hayo, bila shaka hutokea matatizo yanayosababishwa na maslahi mbalimbali ya kibinafsi katika ushirikiano wao wa mara kwa mara. Ni jambo lililo wazi kwamba ni maslahi ya kawaida ndiyo husababisha kila aina ya tofauti. Chuki. Uadui. Dhulma. Na kutoaminiana. Kwa lengo la kuwafanya watu waaminiane, jambo huitajia silsila ya sheria ambazo utekelezaji wake huzuia kutokea kwa ghasia na fujo.
1