bayyinaat

Ulimwengu wa Kiislamu
ulimwengu wa sasa
MAHOJIANO.
MAHOJIANO. Moja ya maswala ya kawaida katika jamii za kimagharibi ni ubaguzi wa rangi na kutowajali weusi na haki zao. Kwa kweli hii nikawaida huko marekani kuliko nchi yeyote huko magharibi. Wakati huo huo maafisa wa marekani wanasisitiza kila mara haki za binadamu.
FUNGAMANO LA ELIMU NA DINI - 2
Elimu: awali ya yote tutaanza kuelezea maana ya Elimu, ambapo kuna maana tofauti ziliolezwa kunako suala zima la kuitambulisha neno Elimu, nami nitajaribu kuashiria baadhi yake kama ifuatavyo:
FUNGAMANO LA ELIMU NA DINI
Hapo ndipo zikatokea nadharia ya kupinga uwepo na ukweli wa Dini kwakuwa tu mafunzo ya Dini haziendani na tija za tafiti ambazo hutoa majibu ya uhakika, na kutoka na kauli mbiu hii kuwa Dini...........
ELIMU, MUHIMILI WA KILA KITU
Hapana shaka kwamba, kabla ya kufanya amali na kazi yoyote ile, kuitambua amali hio nakua na ufahamu nayo ni jambo la dharura......
Njama za madola ya Magharibi za kuvuruga umoja wa Waislamu
Maadui wa Uislamu wamekuwa wakiutuhumu Uislamu kwamba, ni dini ya kutumia mabavu na kwamba, inapinga haki za binaadamu na kwa msingi huo kufanya njama za kuwaogopesha na Uislamu wananchi walioko katika ulimwengu wa Magharibi. Hata hivyo .......