bayyinaat

Jamii
Mwanamke
MWANAMKE NA KAZI
Ili kupata taswira nzuri kunako mtazamo wa Kiislamu tuangalie mpangilio wa kazi katika maisha ya bibi Fatima Zahara (a.s) Maisha ya bibi Fatma yanaashiria kwamba mpangilio wa kazi katika nyumba yake uligawika kwa kuzingatia haki na usawa.
MWANAMKE KABLA YA UISLAMU
Katika tamaduni za Roma kabla ya kuzaliwa Nabii Issa (a.s) ni kwamba, mwanamke na msichana walitumikishwa kama watumishi bila kujali.........
BAADHI YA MISIMAMO KWA MWANAMKE
Ndio ni wajibu wa Mwanamke aliyeolewa kuomba idhini kwa mumewe ya kutoka nje ya nyumba, na falsafa yake pia iko wazi.......
FALSAFA YA HIJABU KATIKA UISLAM
je, vazi la hijabu katika dini ya Kiislamu lina faida yoyote?
JE NI HIJABU IPI AMBAYO HUHESABIKA KWAMBA NI STARA KWA MWANAMKE?
Ni wazi kwamba; ikiwa hijabu itakuwa ni ya heshima itakuwa ni bora zaidi kuliko ya fedheha.
mtazamo wa Uislamu juu ya wake wengi
Nini mtazamo Kiislamu juu ya haki za kifamilia? Je! Kuongeza wake ni mtaala unaotegemea uhakika wa uadilifu wao?
2