Ni nani ana jukumu la kupangilia mambo ya familia baina ya mwanaume na mwanamke?

Ni nani ana jukumu la kupangilia mambo ya familia baina ya mwanaume na mwanamke?

Imekuwa labda ni jambo ambalo hufasiriwa vibaya katika jamii zetu pindi linapokuja swala la kwamba ni nani anakuwa na jukumu la kupangilia mambo ya familia husika kati ya mwanaume na mwanamke, je, ni nani hasa ana jukumu hilo?.
1 2 3 4