Umuhimu wa salamu katika Uislamu - 2

Umuhimu wa salamu katika Uislamu - 2

Umuhimu wa salamu katika Uislamu - 1

Umuhimu wa salamu katika Uislamu - 1

Njama za madola ya Magharibi za kuvuruga umoja wa Waislamu

Njama za madola ya Magharibi za kuvuruga umoja wa Waislamu

Maadui wa Uislamu wamekuwa wakiutuhumu Uislamu kwamba, ni dini ya kutumia mabavu na kwamba, inapinga haki za binaadamu na kwa msingi huo kufanya njama za kuwaogopesha na Uislamu wananchi walioko katika ulimwengu wa Magharibi. Hata hivyo .......
Muhammad bin Zakaria Razi, Tabibu na Mkemia stadi wa Kiirani -2

Muhammad bin Zakaria Razi, Tabibu na Mkemia stadi wa Kiirani -2

Katika kipindi chake,suala la upasuaji wa mwili wa mwanadamu halikuwa maarufu na kimsingi suala hilo lilitambuliwa kuwa ni kinyume na maadili na mafundisho ya dini. Hata hivyo katika vitabu vyake kama kile cha Liber Almansoris, Zakaria Razi alibainisha na kuweka wazi suala la upasuaji wa mifupa, mishipa, ubongo, jicho, sikio, mapafu, moyo, utumbo na kadhalika na ...........
Muhammad bin Zakaria Razi, Tabibu na Mkemia stadi wa Kiirani -1

Muhammad bin Zakaria Razi, Tabibu na Mkemia stadi wa Kiirani -1

Zakaria Razi alisifika sana kwa uhodari na uwezo wake mkubwa wa kihifadhi na kushika mambo mengi kichwani mwake. Ameandika katika kitabu chake alichokipa jina la "Shaka Kuhusu Galinos" (Doubts About Galen) akisema: "Katika ujana wangu nilikuwa na hamu ......
1 2 3