bayyinaat

Tags
Tags
mwanamke wa kiislamu
miongoni mwa mambo ambayo mwenyezi mungu ameikirimu dini ya kiislamu... kwayo, ni swala zima la kumpa thamani mwanamke wa kiislamu... pamoja na kumlinda dhidi ya mambo yasiyomfaa ikiwa ni pamoja...
kwa jina la mwenyezi mungu mwingi wa rehema na mwenye... kurehemu sifa zote njema ni za kwake mwenyezi mungu mola... wa walimwengu wote, pia sala na salamu zimfikie mtume wetu... muhammad saww pamoja na kizazi chake na masahaba zake walio...
News ID: 351   Publish Date: 2018/10/02
imepokelewa kutoka kwa imam baqir a s , na imam... sadiq a s kuwa wamesema “hapana yeyote katika waja wa... mwenyezi mungu ila amekosea kosa la zinaa kwani zinaa ya...
بسم الله الرحمن الرحیم kwa jina la allah mwingi wa... rehema mwenye kurehemu mshale wa sheitani wenye sumu kutoka kwa... imam sadiq a s "kumtazama mwanamke asiyejistiri ni mchale katika... mishale ya ibilisi yenye sumu kali, na uangaliaji ulioje wa...
News ID: 335   Publish Date: 2018/09/21
kwa kusema “hakika mwenyezi mungu ameharamisha zinaa kwa sababu ya... nakama ipatikayo ndani yake kwa machafuko mabaya zaidi kama ...
بسم الله الرحمن الرحیم kwa jina la allah mwingi wa... katika maandishi yaliyomfikia imam sadiq a s , ameyajibu kwa... kusema "hakika mwenyezi mungu ameharamisha zinaa kwa sababu ya nakama... ipatikayo ndani yake kwa machafuko mabaya zaidi kama vile kuua...
News ID: 334   Publish Date: 2018/09/21
ni kwa sababu zinaa ni sababu ya kukata kwa nasaba... undugu na haki za wana juu ya wazazi wao na... haki ya wazazi juu ya wana wao ...
بسم الله الرحمن الرحیم kwa jina la allah mwingi wa... rehema mwenye kurehemu katika madhambi makubwa ambayo kwamba umebainishwa bayana... ukubwa wake ni zinaa, kama ilivyopokelewa kutoka kwa maimamu watakatifu,... mfano wa imam sadiq a s na imam kadhim na...
News ID: 333   Publish Date: 2018/09/21
leo hii katika nchi zilizoendelea zaidi asilimia 85, wanawake wenye... ya kando ya kifamilia, wameendeleza kipaji chao katika maisha yao... ya kifamilia wanawake wenye kujishughulisha wengi hufanya jitihada za kulea... watoto au familia zao au watu wanaowahusu kwa kufanya mlinganisho...
hakika uwezo wa kuunganisha maisha ni kipaji chenye kuleta uchovu... mkubwa pamoja na maisha ya kifamilia yaliyo kamilika yenye mpangilio... ni uhodari mkubwa hasa ikiwa ni kwa mwanamke wa nyumbani,... asilimia 85, wanawake wenye umri kati ya miaka 25 hadi...
News ID: 102   Publish Date: 2017/10/06
je wajifakharisha kuwa kwako mwanamke mwenye sifa ya pekee ya... uanamke? lakini tambua kuwa mwanamke na sifa zake, atakapokwenda kinyume...
je wajifakharisha kuwa kwako mwanamke mwenye sifa ya pekee ya... uanamke? lakini tambua kuwa mwanamke na sifa zake, atakapokwenda kinyume... nazo basi atapoteza sifa ya uanamke wake, na katu hazitarudi... sifa hizo ambazo humtambulisha mwanamke na kumpamba katika macho ya...
News ID: 101   Publish Date: 2017/10/06
ili kupata taswira nzuri kunako mtazamo wa kiislamu tuangalie mpangilio... wa kazi katika maisha ya bibi fatima zahara a s... maisha ya bibi fatma yanaashiria kwamba mpangilio wa kazi katika... nyumba yake uligawika kwa kuzingatia haki na usawa ...
mwanamke na kazi kwa mtazamo wa uislamu moja kati ya... matatizo makubwa zaidi yanayoikumba jamii yetu ya leo ni suala... la mgawanyiko wa kazi kwa ajili ya kuboresha uchumi wa... familia lakini yapaswa ifahamike kwamba moja ya majukumu wanandoa ni...
News ID: 64   Publish Date: 2017/03/26
katika tamaduni za roma kabla ya kuzaliwa nabii issa a... s ni kwamba, mwanamke na msichana walitumikishwa kama watumishi bila...
dhulma kwa mwanamke kabla ya uislamu dhulma kwa mwanamke katika... ulimwengu wa kabla ya uislamu imegawanyika katika vipindi vya aina... mbili 1 kipindi cha uhayawani ambayo mwanamke hakutambulika kama mwanadamu... na hatimaye kuamiliana naye kwa ukali wa hali ya juu...
News ID: 21   Publish Date: 2017/02/28
ndio ni wajibu wa mwanamke aliyeolewa kuomba idhini kwa mumewe... wazi ...
baadhi ya misimamo kwa mwanamke swali uislamu hakutofautisha katika kuwaagiza... kidini kati ya wanaume na wanawake, wote wawili wako sawa... watu kumuelekea allah, kuamrisha mema na kukemea mabaya aidha quran... imembebesha mwanamume na mwanamke majukumu ya kusimamia masilahi ya jamii...
News ID: 20   Publish Date: 2017/02/24
je, vazi la hijabu katika dini ya kiislamu lina faida...
ndugu mwislamu hijabu ni stara adhimu kwa mwanamke na huhesabika... kuwa ni miongoni mwa hukumu za kisheria ambazo ni za... کانَ اللَّهُ غَفُوراً رَحِیماً "ewe nabii waambie wake zako, na... binti zako, na wake za waumini wajiteremshie nguo zao hivyo...
News ID: 19   Publish Date: 2017/02/21
HIJABU YA KISHERIA KWA MWANAMKE
ni wazi kwamba ikiwa hijabu itakuwa ni ya heshima itakuwa...
mungu amewaamuru wasichana na wanawake kujihimiza kufuatilia wasifu wake, kama... vile kusitiri miili yao mbele ya wanaume ajinabi na wasio... waume zao, ameamrisha hilo katika qur’an tukufu, na kuthibitishwa na... masumiin a s aidha maulama wa fiqhi wamepambanua zaidi suala...
News ID: 18   Publish Date: 2017/02/20
je katika qur’an tukufu kuna dhulma yoyote dhidi ya mwanamke?...
je yafaa kumpiga mwanamke? swali je katika qur’an tukufu kuna... dhulma yoyote dhidi ya mwanamke? maana tunaona katika kauli ya... کَانَ عَلِیًّا کَبِیرًا "wanaume ni wasimamizi wa wanawake, kwa kufadhiliwa... na mwenyezi mungu baadhi yao juu ya baadhi, na kwa...
News ID: 11   Publish Date: 2017/02/08
“atakaposali mwanamke sala zake tano, na akafunga mwezi wake mtukufu,...
kwa jina la mwenyezi mungu mwingi wa rehema na mwenye... kurehemu imepokelewa kutoka kwa ibn abbas kuwa amesema iliposhuka aya... hii والذین یکنزون الذهب والفضة hakika ni wanawake wachache ndio... wanaofahamu jambo hilo, pia ni wachache ndio wanaolifanyia kazi suala...
News ID: 9   Publish Date: 2017/02/07