bayyinaat

Jamii
Jamii za Kishia
4.Tiba ya kiisalamu
Indelia na faida za chunvi
3.Tiba ya kiisalamu
faida za chunvi
Tiba ya kiislamu.2
Faida za chunvi
Tiba ya kiislamu 01
Mtume (S.A.W.W.) Ni tabibu anayewatibu watu kila mahali na a ameimarisha dawa zake na kusafisha vifaa vyake.
Ni yapi madhara ya UVUTAJI WA sigara?:; SEHEMU YA PILI
Kula au kuvuta kitu ambacho ni sababu ya kuleta madhara kwa akili ya mtu au afya yake ni haramu (kitu hicho), lakini ikiwa ni madhara ya muda mfupi au machache ambapo akili haitadhurika wala kusumbuka, si jambo haramu. Katika hitimisho lazima ifahamike kwamba Dini tukufu ya Uislamu imesisitiza mno suala la kulinda nafsi ya mwandamu, mali yake, heshima yake na haiba yake, na madaktari wote na maulamaa wa kidini wameafikiana juu ya mambo hayo, na kwamba uvutaji wa moshi hupelekea dosari katika afya ya mwanadamu na nafsi yake, hivyo ni lazima kuacha, na hapana madhara mengine makubwa zaidi
Ni yapi madhara ya UVUTAJI WA sigara?: SEHEMU YA KWANZA
Moshi huwa ni wenye sumu nyingi, lakini sisi tutataja misombo ya moshi muhimu zaidi, ikiwa ni pamoja na: nikotini, ambayo ni kifungu chenye sumu kali inayosababisha hali ya mwili inayoitwa............