bayyinaat

Published time: 01 ,January ,2021      18:53:21
Makabu ya bibi Fatima a.s
Makabu ya bibi Fatima a.s
News ID: 398


Mashia na Wasunni walisimulia katika vitabu vyao kwamba Mjumbe wa Mungu alisema: Fatima ni sehemu yangu, kwa hivyo yeyote atakayemkasirisha atanikasirisha. (Sahih Al-Bukhari 3/1144).
Na pia walisema: Fatima ni sehemu yangu inaniudhi kile kinachomudhi. (Sahih Muslim 4/1903).
Na pia walisema: Fatima ametokana na mimi na mimi nimeokana na yeye , atakaemudhi basi ameniudhi ,na atakaeniudhi amemudhi Mwenyezi Mungu. (Ilalu Sheria 1/219).

روى الشيعة وأهل السنة في كتبهم أن رسول اللهقال: فاطمة بضعة مني، فمن أغضبها أغضبني. (صحيح البخاري 3/1144).

وفي بعضها، أنهقال: إنما فاطمة بضعة مني يؤذيني ما آذاها. (صحيح مسلم 4/1903).

وفي بعضها: قال: فاطمة بضعة مني وأنا منها، فمن آذاها فقد آذاني، من آذاني فقد آذى الله. (علل الشرائع 1/219).

maoni Viewers
Name:
Email:
* Opinion: