bayyinaat

Itikadi
Tawhid
Antony Flew na uwepo wa Mungu
Na ili kuthibitisha jambo hili inatutosha tu kurejea katika jamii zetu na kuona kwamba kuna wangapi ambao hawakubaliani na uhakika wa kwamba kuna Mungu?, natumia neno Uhakika wa uwepo wa Mungu nikiwa na maana ya kwamba hao wanaoamini kinyume.......
Umuhimu wa Maswala ya Itikadi katika maneno ya Mtume na Maimamu (as)
Endapo tutarejea na kuangalia maneno ya maimamu, basi tutakuta kwamba wao pia waliwekea umuhimu mno swala zima la itikadi, ima iwe kwa njia ya wao kuanza moja kwa moja kubainisha au hata wakati mwingine ni kwa njia ya kusahihisha pale wanapoona kwamba kuna makosa. Na kwa kuwa tumeona kwa mtume njia ya kwanza basi itakuwa vyema endapo ......
UMUHIMU WA MASWALA YA ITIKADI KATIKA MANENO YA MTUME (SAWW) NA MAIMAMU
Moja: Mtume alikuwa akimwambia Hamza mambo ambayo kila mwanadamu anatakiwa ayaamini ili tu atakapokutana na mola wake siku ya mwisho akutane naye hali ya kuwa ni mwanadamu aliyekamilika kuanzia kimwenendo mpaka kiitikadi. Na hii ni kutokana na msingi ambao Mwenyezi Mungu ameuweka pale aliposema.....
Popo na Siri ya Uumbaji
Namleta kwako ewe ndugu msomaji wa mada hii, kiumbe ambaye hujulikana kama popo, ni mdogo kimaumbile ukilinganisha na tembo, lakini katika kumfikisha mwanadamu kunako kuthibitisha umahiri wa muumba wana nafasi......
Kumjua Mwenyezi Mungu Na Kutanua Maarifa
Sasa jaribu pia kufikiria kwamba umeletewa kitabu ambacho unaambiwa kabisa kwamba kitabu hiki ni kizuri tu kwa nje, lakini mtunzi wake sio katika watu mahiri wala wenye elimu kubwa ya utunzi, bila shaka utajikuta kwamba ni mwenye kusoma kitabu kile kwa juujuu pia, na hata kama itatokea kuna nukta ambayo..........
Kumjua Mwenyezi Mungu  -sehemu ya pili
Jambo la kwanza ni kuweza kutambua kwamba, ni kweli katika Quran kuna aya ambazo zinaelezea juu ya ukamilifu katika uumbaji wa dunia na vilivyomo, lakini isituchukue kusema kwamba aya hizi moja kwa moja zinalenga..........
1