bayyinaat

Jamii
Familia
Malezi Bora
Hakika suala la malezi bora ni suala muhimu katika maisha ya mtoto kwa maana malezi bora ndio kipengere muhimu kinacholeta tofauti baina ya mwanadamu na viumbe vingine hai, hivyo kwa malezi bora ndio twaweza kumpata mwanadamu mwema vilevile kinyume chake........
Ni nani ana jukumu la kupangilia mambo ya familia baina ya mwanaume na mwanamke?
Imekuwa labda ni jambo ambalo hufasiriwa vibaya katika jamii zetu pindi linapokuja swala la kwamba ni nani anakuwa na jukumu la kupangilia mambo ya familia husika kati ya mwanaume na mwanamke, je, ni nani hasa ana jukumu hilo?.
3