bayyinaat

Mwanzo
Tafuta
Sifa ni zake Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema mwenye kurehemu, na sala la amani zimuendee mbora wa walimwengu bwana wa manabii na mjumbe wa Mwenyezi Mungu ambaye mbinguni ameitwa kwa jina la; Ahmad, na ardhini akaitwa kwa jina la; Abal Qaasim Muhammad, yeye pamoja.....
GHADIR KWA MUJIBU WA QUR’ANI - 1
Mtukufu Mtume baada ya kutimiza Hijja ya mwisho na kutekeleza ibada za Hijja, na kufuta athari za kijahili na kuweka jiwe jeusi mahala pake na kukaa Makka kwa siku moja, Malaika Jibril alimjia Mtume na Aya hizi za....
NI MADHAMBI YAPI YANASHUSHA BALAA NA KUONDOSHA NEEMA ?
Vilevile kuacha kuunga undugu hadi watakapo tajirika, na kuacha Sala hadi watakapotoka ndani ya wakati wake, na kuacha kutoa nasaha na kutozuia dhulma, na kutotoa zaka hadi utakapo wakuta umauti na kufunga kauli.................
Dua Al Iftitah Sauti na Maneno
Dua ambayo husomwa kila usiku wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani