bayyinaat

Mwanzo
Tafuta
ili mradi tu mwanadamu asiwe ni mwenye kujisahau ya kwamba anatakiwa daima awe ni mwenye kushikamana na mola wake, na mfano wa dua hizo ni dua ambazo kila siku Mwislamu anatakiwa asome katika........
Dua za kila siku katika mwezi wa Ramadhan (Kumi la Pili)
Kwa hakika mwezi mtukufu wa Ramadhani ni mwezi ambao unakuja kwa lengo la kumjenga mwanadamu na kumjulisha ya kwamba swala la kuambatana na muumba wake si swala la wakati maalumu pasi na wakati mwingine.....
Dua za kila siku katika mwezi wa Ramadhan (Kumi la Kwanza)
Unaweza kuona ni dua fupi kwa maneno na ambazo hazichukui hata dakika nyingi katika kuzisoma, lakini endapo tukiangalia lengo lake kubwa la kumkumbusha mwanadamu na kumuweka katika hali ya mawasiliano ya daima na mola wake, ndipo tutajua thamani ya dua hizo. Zifuatazo ni......
Adabu Za Usiku Wa Kwanza
kuna taratibu ambazo Mwislamu anatakiwa kushikamana nazo ili tu aweze kuuingia, kuishi nao na hata kuumaliza hali ya kuwa amefikia lengo ambalo Mwenyezi Mungu amelitaka kwa waja wake pale alipowafaradhishia kufunga kwa kusema :
Hotuba ya Mtume saww katika kuukaribisha mwezi mtukufu wa Ramadhani -2
“Enyi watu! Hakika milango ya pepo katika mwezi huu huwa wazi, basi muombeni mola wenu asiwafungie, na pia milango ya moto katika kipindi hiki huwa imefungwa..........
Hotuba ya Mtume saww katika kuukaribisha mwezi mtukufu wa Ramadhani -1
Kama ambavyo mtukufu mtume jambo lake kuu ni kuweza kuuongoza umma kufikia katika malengo makubwa, basi swala zima la kutimiza ibada nzima ya funga kwa ukamilifu ni katika maswala yanayoambatana na kazi yake hiyo. Hivyo katika kuukaribisha mwezi mtukufu wa Ramadhani, aliweza.......