Mwanzo
Tafuta
1) Kumpenda Imamu Ali (a.s).
2) Kuwatendea hisani wazazi wawili.
3) Kuunga undugu.
4) Kuwapa mavazi waumini wasiojiweza.
5) Kuwapa maziwa waumini wasiojiweza..........
1) Zinaa.
2) Nyimbo na Miziki.
3) Kumfanyia Mwislamu hiana/ usaliti.
4) Kudhihirisha ufukara wakati ni mwenye uwezo.
5) Kuita Jina baya......
DALILI ZA UKAMILIFU WA AKILI
1) Kutoudhi watu, na wao kutarajia yake mema.
2) Kutumia mali zake katika njia ya Mola wake.
3) Kujiepusha kuongea sana......